2 Timothy 2:2
Nayo mambo yale uliyonisikia nikiyasema mbele ya mashahidi wengi, uwakabidhi watu waaminifu watakaoweza kuwafundisha watu wengine vilevile.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Basi, wewe mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Kristo Yesu.
3Vumilia taabu pamoja nasi kama askari mwema wa Kristo Yesu.
Cross References
Numbers 12:7Lakini sivyo kwa mtumishi wangu Mose; 2 yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote. 1
Ezra 7:10Kwa maana Ezra alikuwa amejitoa kwa moyo wote kujifunza na kushika sheria ya Bwana na kuwafundisha watu wa Israeli amri na sheria zake. 1 Barua Ya Ezra Kutoka Kwa Mfalme Artashasta
Nehemiah 7:2Nikamweka Hanani ndugu yangu kuwa kiongozi wa Yerusalemu, pamoja na Hanania jemadari wa ngome, kwa kuwa alikuwa mtu mwadilifu na mwenye kumcha Mungu kuliko watu wengine.
Proverbs 13:17Mjumbe mwovu huanguka kwenye taabu, 2 bali mjumbe mwaminifu huleta uponyaji. 1
Malachi 2:7“Kwa maana yapasa midomo ya kuhani kuhifadhi maarifa. Tena kutoka kinywani mwake watu wangepaswa kutafuta mafundisho, kwa sababu yeye ni mjumbe wa Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Matthew 24:25Angalieni, nimekwisha kuwaambia mapema.