The Bible Software
bible.software2 Timothy2 Timothy 2 › 2 Timothy 2:3

2 Timothy 2:3

Vumilia taabu pamoja nasi kama askari mwema wa Kristo Yesu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou therefore endure hardness, as a good soldier of Jesus Christ.

In Context

2Nayo mambo yale uliyonisikia nikiyasema mbele ya mashahidi wengi, uwakabidhi watu waaminifu watakaoweza kuwafundisha watu wengine vilevile.

4Hakuna askari yeyote ambaye akiwa vitani hujishughulisha na mambo ya kawaida ya maisha haya kwa sababu nia yake ni kumpendeza yule aliyemwandika awe askari.

Read all of 2 Timothy 2

Cross References

Judges 3:2(alifanya hivi ili tu kuwafundisha wazao wa Waisraeli ambao hawakuwa wamejua vita hapo awali):

1 Corinthians 13:7Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote.

2 Corinthians 10:3Ingawa tunaishi duniani, hatupigani vita kama ulimwengu ufanyavyo.

1 Timothy 1:18Mwanangu Timotheo, ninakupa agizo hili, kwa kadiri ya maneno ya unabii yaliyosemwa kukuhusu, ili kwa kuyafuata upate kupigana vita vizuri,

2 Timothy 2:10Kwa hiyo ninavumilia mambo yote kwa ajili ya wateule wa Mungu, kusudi wao nao wapate wokovu ulio katika Kristo Yesu, pamoja na utukufu wa milele.

2 Timothy 4:5Kwa habari yako wewe, vumilia mateso, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiza wajibu wote wa huduma yako.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Timothy 2:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Timothy 2:22 Timothy 22 Timothy 2:4 →