The Bible Software
bible.software2 Timotheo2 Timotheo 4 › 2 Timotheo 4:11

2 Timotheo 4:11

Ni Luka peke yake aliye hapa pamoja nami. Mtafute Marko uje naye kwa sababu ananifaa sana katika huduma yangu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Only Luke is with me. Take Mark, and bring him with thee: for he is profitable to me for the ministry.

In Context

10kwa sababu Dema, kwa kuupenda ulimwengu, ameniacha na amekwenda Thesalonike. Kreske amekwenda Galatia na Tito amekwenda Dalmatia.

12Nimemtuma Tikiko huko Efeso.

Read all of 2 Timotheo 4

Cross References

Matthew 19:30Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.

Luke 13:30Tazama, kunao walio wa mwisho watakaokuwa wa kwanza, nao wa kwanza watakaokuwa wa mwisho.” 1 Yesu Aomboleza Kwa Ajili Ya Yerusalemu (Mathayo 23:37-39)

Acts 12:25Barnaba na Sauli walipomaliza ile huduma yao iliyowapeleka, wakarudi Yerusalemu wakiwa pamoja na Yohana aitwaye Marko.

Acts 16:10Baada ya Paulo kuona maono haya, tulijiandaa kwa haraka kuondoka kwenda Makedonia tukiwa tumesadiki kuwa Mungu alikuwa ametuita kuhubiri habari njema huko. 1 Kuokoka Kwa Lidia

Colossians 4:14Rafiki yetu mpenzi Luka yule tabibu, pamoja na Dema, wanawasalimu.

Philemon 1:24Vivyo hivyo Marko, Aristarko, Dema na Luka, watendakazi wenzangu wanakusalimu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Timotheo 4:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Timotheo 4:102 Timotheo 42 Timotheo 4:12 →