The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 19 › Matthew 19:30

Matthew 19:30

Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But many that are first shall be last; and the last shall be first.

In Context

29Kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu zake wa kiume au wa kike, baba au mama, watoto au mashamba kwa ajili yangu, atapokea mara mia zaidi ya hayo, na ataurithi uzima wa milele.

Read all of Matthew 19

Cross References

Matthew 20:16“Vivyo hivyo, wa mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza watakuwa wa mwisho.” 1 Yesu Atabiri Tena Kuhusu Kifo Chake (Marko 10:32-34; Luka 18:31-34)

Mark 10:31Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na wa mwisho watakuwa wa kwanza.” 1 Yesu Atabiri Mara Ya Tatu Kufa Na Kufufuka Kwake (Mathayo 20:17-19; Luka 18:31-34)

Luke 13:30Tazama, kunao walio wa mwisho watakaokuwa wa kwanza, nao wa kwanza watakaokuwa wa mwisho.” 1 Yesu Aomboleza Kwa Ajili Ya Yerusalemu (Mathayo 23:37-39)

Romans 5:20Zaidi ya hayo, sheria ilikuja, ili uvunjaji wa sheria uongezeke. Lakini dhambi ilipoongezeka, neema iliongezeka zaidi,

Galatians 5:7Mlikuwa mkipiga mbio vizuri. Ni nani aliyewazuia msiitii kweli?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 19:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 19:29Matthew 19