3 Yohana 1:11
Rafiki mpendwa, usiige lile lililo baya bali lile lililo jema. Yeyote atendaye mema atoka kwa Mungu, bali atendaye mabaya hajamwona Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 34:14Aache uovu, atende mema, 2 aitafute amani na kuifuatilia. 1
Proverbs 12:11Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, 2 bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili. 1
John 3:20Kwa kuwa kila atendaye maovu huchukia nuru, wala haji kwenye nuru ili matendo yake maovu yasifichuliwe.
John 12:26Mtu yeyote akinitumikia lazima anifuate, nami mahali nilipo ndipo mtumishi wangu atakapokuwa. Mtu akinitumikia, Baba yangu atamheshimu.
1 Corinthians 11:1Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Kristo. 1 Utaratibu Katika Kuabudu
Philippians 3:17Ndugu zangu, kwa pamoja fuateni mfano wangu na kuwatazama wale wanaofuata kielelezo tulichowawekea.