Acts 12:24
Lakini neno la Mungu likaendelea mbele na kuenea, nao wengi wakaambatana nalo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But the word of God grew and multiplied.
In Context
Cross References
Proverbs 28:28Wakati waovu watawalapo, 2 watu huenda mafichoni, 1 bali waovu wanapoangamia, 2 wenye haki hufanikiwa.
Isaiah 54:14Kwa haki utathibitika: 1 Kuonewa kutakuwa mbali nawe; 2 hutaogopa chochote. 1 Hofu itakuwa mbali nawe; 2 haitakukaribia wewe. 1
Daniel 2:24Ndipo Danieli akamwendea Arioko, ambaye mfalme alikuwa amemteua kuwaua wenye hekima wa Babeli, akamwambia, “Usiwaue wenye hekima wa Babeli. Nipeleke kwa mfalme, nami nitamfasiria ndoto yake.”
Matthew 16:18Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda.
Acts 6:7Neno la Mungu likazidi kuenea. Idadi ya wanafunzi ikazidi kuongezeka sana katika Yerusalemu hata makuhani wengi wakaitii ile imani. 1 Kukamatwa Kwa Stefano
Acts 19:20Hivyo neno la Bwana likaenea sana na kuwa na nguvu.