Acts 12:5
Kwa hiyo Petro akawekwa gerezani, lakini kanisa lilikuwa likimwombea kwa Mungu kwa bidii.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 62:6Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, ee Yerusalemu, 2 hawatanyamaza mchana wala usiku. 1 Ninyi wenye kumwita Bwana, 2 msitulie, 1
Luke 18:1Kisha Yesu akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonyesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.
1 Corinthians 12:26Kama kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote huumia pamoja nacho, kama kiungo kimoja kikipewa heshima, viungo vyote hufurahi pamoja nacho.
Ephesians 6:18Mkiomba kwa Roho siku zote katika sala zote na maombi, mkikesha kila wakati mkiwaombea watakatifu wote.
Hebrews 13:3Wakumbukeni wale waliofungwa gerezani kana kwamba ninyi mmefungwa pamoja nao. Pia wakumbukeni wale wanaotendewa vibaya, kana kwamba ni ninyi wenyewe mnateswa.