Acts 13:33
sasa ameyatimiza kwetu sisi watoto wao, kwa kumfufua Yesu, kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: 1 “ ‘Wewe ni Mwanangu; 2 leo mimi nimekuzaa.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
32“Nasi tunawaletea habari njema, kwamba yale Mungu aliyowaahidi baba zetu
Cross References
Hebrews 1:5Kwa maana ni malaika yupi ambaye wakati wowote Mungu alipata kumwambia, 1 “Wewe ni Mwanangu; 2 leo mimi nimekuzaa?” Au tena, 1 “Mimi nitakuwa Baba yake, 2 naye atakuwa Mwanangu?”