The Bible Software
bible.softwareActsActs 13 › Acts 13:35

Acts 13:35

Kama ilivyosemwa mahali pengine katika Zaburi, 1 “ ‘Hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu.’

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wherefore he saith also in another psalm, Thou shalt not suffer thine Holy One to see corruption.

In Context

34Kwa kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu asioze kamwe, alitamka maneno haya: 1 “ ‘Nitakupa wewe baraka takatifu zilizo za hakika 2 nilizomwahidi Daudi.’

36“Kwa maana Daudi akiisha kulitumikia kusudi la Mungu katika kizazi chake, alilala; akazikwa pamoja na baba zake na mwili wake ukaoza.

Read all of Acts 13

Cross References

Psalms 16:10kwa maana hutaniacha kaburini, 2 wala hutamwacha Mtakatifu Wako kuona uharibifu. 1

Psalms 89:48Ni mtu gani awezaye kuishi na asione kifo, 2 au kujiokoa mwenyewe kutoka nguvu za kaburi? + 89:48 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 1

John 3:36Yeyote anayemwamini Mwana ana uzima wa milele, lakini yeye asiyemwamini Mwana hatauona uzima, bali ghadhabu ya Mungu itakuwa juu yake.”

Acts 2:27Kwa maana hutaniacha kaburini, 2 wala hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu. 1

Hebrews 11:5Kwa imani Enoki alitwaliwa kutoka maisha haya, kiasi kwamba hakuonja mauti. Hakuonekana, kwa sababu Mungu alikuwa amemchukua. Kwa kuwa kabla hajatwaliwa alikuwa ameshuhudiwa kuwa ni mtu aliyempendeza Mungu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 13:35

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 13:34Acts 13Acts 13:36 →