bible.software › Acts › Acts 13 › Acts 13:42
Acts 13:42
Paulo na Barnaba walipokuwa wakitoka nje ya sinagogi, watu wakawaomba wazungumze tena mambo hayo Sabato iliyofuata.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when the Jews were gone out of the synagogue, the Gentiles besought that these words might be preached to them the next sabbath.
In Context
41“ ‘Angalieni, enyi wenye dhihaka, 2 mkastaajabu, mkaangamie, 1 kwa maana nitatenda jambo wakati wenu 2 ambalo hamtasadiki, 2 hata kama mtu akiwaambia.’ ”
43Baada ya kusanyiko la Sinagogi kutawanyika, wengi wa Wayahudi na waongofu wa dini ya Kiyahudi wakawafuata Paulo na Barnaba, wakazungumza nao na kuwahimiza wadumu katika neema ya Mungu.
Read all of Acts 13
Cross References
Ezekiel 3:6Sikukutuma kwa mataifa mengi yenye maneno ya kutatiza na lugha ngumu ambao maneno yao hutayaelewa. Hakika ningekutuma kwa watu hao, wangekusikiliza.
Matthew 19:30Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.
Acts 13:14Kutoka Perga wakaendelea hadi Antiokia ya Pisidia. Siku ya Sabato wakaingia ndani ya sinagogi, wakaketi.
This Verse In Other Editions
Study Acts 13:42