Acts 13:41
“ ‘Angalieni, enyi wenye dhihaka, 2 mkastaajabu, mkaangamie, 1 kwa maana nitatenda jambo wakati wenu 2 ambalo hamtasadiki, 2 hata kama mtu akiwaambia.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
40Kwa hiyo jihadharini ili yale waliyosema manabii yasiwapate: 1
Cross References
Proverbs 5:12Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! 2 Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo! 1
Isaiah 28:14Kwa hiyo sikieni neno la Bwana, enyi watu wenye dharau 2 mnaotawala watu hawa wa Yerusalemu. 1
Daniel 9:26Baada ya majuma sitini na mawili, Mpakwa Mafuta atakatiliwa mbali, wala hatabaki na kitu. Watu wa mtawala atakayekuja watauharibu mji pamoja na mahali patakatifu. Mwisho utakuja kama mafuriko: Vita vitaendelea mpaka mwisho, nao ukiwa umeamriwa.
Matthew 8:10Yesu aliposikia maneno haya, alishangaa, akawaambia wale waliomfuata, “Amin, nawaambia, hata katika Israeli sijapata kuona yeyote mwenye imani kubwa namna hii.
Matthew 22:7Yule mfalme akakasirika sana, akapeleka jeshi lake likawaangamiza wale wauaji na kuuteketeza mji wao kwa moto.
Luke 16:14Mafarisayo, waliokuwa wapenda fedha, waliyasikia hayo yote na wakamcheka kwa dharau.