Acts 14:5
Watu wa Mataifa na Wayahudi wakajiunga na baadhi ya viongozi, wakafanya mpango wa kuwatendea mitume mabaya na kuwapiga mawe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Lakini watu wa mji ule waligawanyika, wengine wakakubaliana na Wayahudi na wengine na mitume.
Cross References
Psalms 2:1Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, 2 na kabila za watu kula njama bure? 1
Matthew 5:44Lakini ninawaambia: Wapendeni adui zenu na waombeeni wanaowatesa ninyi,
Acts 4:25Wewe ulisema kwa Roho Mtakatifu kupitia kwa kinywa cha baba yetu Daudi, mtumishi wako, ukasema: 1 “ ‘Mbona mataifa wanaghadhibika, 2 na kabila za watu zinawaza ubatili? 1
Acts 17:5Lakini Wayahudi ambao hawakuwa wameamini wakawa na wivu, wakawakodi watu waovu kutoka sokoni, wakakutanisha umati wa watu, wakaanzisha ghasia mjini. Wakaenda mbio nyumbani kwa Yasoni wakiwatafuta Paulo na Sila ili kuwaleta nje penye ule umati wa watu.