Acts 17:4
Baadhi ya Wayahudi wakasadiki, wakaungana na Paulo na Sila, wakiwepo idadi kubwa ya Wayunani waliomcha Mungu na wanawake wengi mashuhuri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 9:6Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi; 2 tembeeni katika njia ya ufahamu. 1
Song of Solomon 1:7Niambie, wewe ambaye ninakupenda, 2 unalisha wapi kundi lako la kondoo 2 na ni wapi unapowapumzisha kondoo wako adhuhuri. 1 Kwa nini niwe kama mwanamke aliyefunikwa shela 2 karibu na makundi ya rafiki zako? Marafiki 1
Zechariah 2:11“Mataifa mengi yataunganishwa na Bwana siku hiyo, nao watakuwa watu wangu. Nitaishi miongoni mwenu nanyi mtajua kwamba Bwana Mwenye Nguvu Zote amenituma kwenu.
John 7:35Wayahudi wakaulizana wao kwa wao, “Huyu mtu anataka kwenda wapi ambako hatuwezi kumfuata? Je, anataka kwenda kwa Wayunani ambako baadhi ya watu wetu wametawanyikia, akawafundishe Wayunani?
Acts 2:44Walioamini wote walikuwa mahali pamoja, nao walikuwa na kila kitu shirika.
Acts 5:12Mitume wakafanya ishara nyingi na miujiza miongoni mwa watu. Walioamini wote walikuwa wakikusanyika katika ukumbi wa Solomoni.