The Bible Software
bible.softwareActsActs 18 › Acts 18:25

Acts 18:25

Alikuwa amefundishwa katika njia ya Bwana, naye alikuwa na bidii katika roho, akafundisha kwa usahihi juu ya Yesu, ingawa alijua tu ubatizo wa Yohana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

This man was instructed in the way of the Lord; and being fervent in the spirit, he spake and taught diligently the things of the Lord, knowing only the baptism of John.

In Context

24Basi akaja Efeso Myahudi mmoja, jina lake Apolo, mwenyeji wa Iskanderia. Yeye alikuwa na elimu kubwa, pia alikuwa hodari katika Maandiko.

26Apolo alianza kunena kwa ujasiri mkubwa katika sinagogi. Lakini Prisila na Akila walipomsikia, walimchukua kando na kumweleza njia ya Mungu kwa ufasaha zaidi.

Read all of Acts 18

Cross References

Judges 2:22Nitayatumia ili nipate kuwapima Israeli na kuona kama wataishika njia ya Bwana na kuenenda katika hiyo kama njia baba zao walivyofanya.”

Psalms 25:8Bwana ni mwema na mwenye adili, 2 kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake. 1

Isaiah 40:3Sauti ya mtu aliaye: 2 “Itengenezeni jangwani njia ya Bwana, 1 nyoosheni njia kuu nyikani 2 kwa ajili ya Mungu wetu. 1

Hosea 14:9Ni nani mwenye hekima? Atayatambua mambo haya. 2 Ni nani mwenye ufahamu? Huyu atayaelewa. 1 Njia za Bwana ni adili; 2 wenye haki huenda katika njia hizo, 2 lakini waasi watajikwaa ndani yake.

Mark 1:3“sauti ya mtu aliaye nyikani. 1 ‘Itengenezeni njia ya Bwana, 2 yanyoosheni mapito yake.’ ”

Luke 3:1Katika mwaka wa kumi na tano wa utawala wa Kaisari Tiberio, Pontio Pilato akiwa mtawala wa Uyahudi, Herode akiwa mfalme wa Galilaya, Filipo ndugu yake akiwa mfalme wa Iturea na nchi ya Trakoniti, na Lisania akiwa mfalme wa Abilene,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 18:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 18:24Acts 18Acts 18:26 →