John 16:32
Saa inakuja, naam, imekwisha kuwadia, mtakapotawanyika kila mmoja kwenda nyumbani kwake na kuniacha peke yangu. Lakini mimi siko peke yangu kwa sababu Baba yu pamoja nami.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Yesu akawajibu, “Je, sasa mnaamini?
Cross References
Isaiah 50:6Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao, 2 mashavu yangu wale wangʼoao ndevu zangu; 1 sikuuficha uso wangu kutokana na fedheha 2 na kutemewa mate. 1
Matthew 26:31Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu, ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: 1 “ ‘Nitampiga mchungaji, 2 nao kondoo wa hilo kundi watatawanyika.’
Mark 14:27Yesu akawaambia, “Ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: 1 “ ‘Nitampiga mchungaji, 2 nao kondoo watatawanyika.’
John 4:21Yesu akamjibu, “Mwanamke, niamini, wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala huko Yerusalemu.
John 5:25Amin, amin nawaambia, saa yaja, nayo saa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu, nao watakaoisikia watakuwa hai.
John 8:16Lakini hata kama nikihukumu, uamuzi wangu ni sahihi kwa sababu sitoi hukumu yangu peke yangu, bali niko pamoja na Baba, aliyenituma.