Acts 20:12
Watu wakamrudisha yule kijana nyumbani akiwa hai nao wakafarijika sana. 1 Paulo Awaaga Wazee Wa Efeso
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they brought the young man alive, and were not a little comforted.
In Context
Cross References
Isaiah 40:1Wafarijini, wafarijini watu wangu, 2 asema Mungu wenu. 1
Ephesians 6:22Ninamtuma kwenu kwa ajili ya kusudi hili hasa, ili mpate kujua hali yetu, na awatie moyo.
1 Thessalonians 4:18Kwa hiyo farijianeni kwa maneno haya.
1 Thessalonians 5:14Nasi twawasihi, ndugu, waonyeni walio wavivu, watieni moyo waoga, wasaidieni wanyonge na kuwavumilia watu wote.