Acts 20:13
Tukatangulia melini tukasafiri mpaka Aso ambako tungempakia Paulo. Alikuwa amepanga hivyo kwa maana alitaka kufika kwa miguu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Alipotukuta huko Aso, tulimpakia melini, tukasafiri wote mpaka Mitilene.
Cross References
Mark 1:35Alfajiri na mapema sana kulipokuwa bado kuna giza, Yesu akaamka, akaondoka, akaenda mahali pa faragha ili kuomba.
Mark 6:46Baada ya kuwaaga wale watu, akaenda mlimani kuomba.