The Bible Software
bible.softwareMarkMark 1 › Mark 1:35

Mark 1:35

Alfajiri na mapema sana kulipokuwa bado kuna giza, Yesu akaamka, akaondoka, akaenda mahali pa faragha ili kuomba.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And in the morning, rising up a great while before day, he went out, and departed into a solitary place, and there prayed.

In Context

34Yesu akawaponya watu wengi waliokuwa na magonjwa ya aina mbalimbali. Akawatoa pepo wachafu wengi, lakini hakuwaacha hao pepo wachafu waseme, kwa sababu walimjua yeye ni nani. 1 Yesu Aenda Galilaya (Luka 4:42-44)

36Simoni na wenzake wakaenda kumtafuta,

Read all of Mark 1

Cross References

Psalms 109:4Wanachonilipa badala ya urafiki wangu ni kunishtaki, 2 lakini mimi ninawaombea. 1

Mark 6:46Baada ya kuwaaga wale watu, akaenda mlimani kuomba.

Luke 5:16Lakini mara kwa mara Yesu alijitenga nao ili kwenda mahali pa faragha kuomba. 1 Yesu Amponya Mtu Mwenye Kupooza (Mathayo 9:1-8; Marko 2:1-12)

Luke 22:39Yesu akatoka, akaenda kwenye Mlima wa Mizeituni kama ilivyokuwa kawaida yake, nao wanafunzi wake wakamfuata.

John 6:15Yesu akijua kwamba walitaka kuja kumfanya awe mfalme wao, kwa nguvu, akajitenga nao akaenda milimani peke yake. 1 Yesu Atembea Juu Ya Maji (Mathayo 14:22-33; Marko 6:45-52)

Philippians 2:5Kuweni na nia ile ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu: 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 1:35

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 1:34Mark 1Mark 1:36 →