Acts 28:24
Baadhi wakasadiki yale aliyosema, lakini wengine hawakuamini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And some believed the things which were spoken, and some believed not.
In Context
Cross References
Acts 14:4Lakini watu wa mji ule waligawanyika, wengine wakakubaliana na Wayahudi na wengine na mitume.
Acts 18:6Wayahudi walipompinga Paulo na kukufuru, yeye aliyakungʼuta mavazi yake, akawaambia, “Damu yenu na iwe juu ya vichwa vyenu! Mimi sina hatia, nimetimiza wajibu wangu. Kuanzia sasa nitawaendea watu wa Mataifa.”
Romans 3:3Ingekuwaje kama wengine hawakuwa na imani? Je, kutokuamini kwao kungebatilisha uaminifu wa Mungu?