bible.software › Acts › Acts 28 › Acts 28:27
Acts 28:27
Kwa kuwa mioyo ya watu hawa imekuwa migumu; 2 hawasikii kwa masikio yao, 2 na wamefumba macho yao. 1 Wasije wakaona kwa macho yao, 2 na wakasikiliza kwa masikio yao, 2 wakaelewa kwa mioyo yao, 1 na kugeuka nami nikawaponya.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the heart of this people is waxed gross, and their ears are dull of hearing, and their eyes have they closed; lest they should see with their eyes, and hear with their ears, and understand with their heart, and should be converted, and I should heal them.
In Context
26“ ‘Nenda kwa watu hawa na useme, 1 “Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; 2 na pia mtatazama, lakini hamtaona.” 1
28“Basi na ijulikane kwenu kwamba, huu wokovu wa Mungu umepelekwa kwa watu wa Mataifa, nao watasikiliza.” [
Read all of Acts 28
This Verse In Other Editions
Study Acts 28:27