Acts 4:26
Wafalme wa dunia wamejipanga, 2 na watawala wanakusanyika pamoja 2 dhidi ya Bwana 2 na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 2:2Wafalme wa dunia wanajipanga 2 na watawala wanajikusanya pamoja 1 dhidi ya Bwana 2 na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake. 1
Daniel 9:24“Majuma sabini yameamriwa kwa ajili ya watu wako na kwa ajili ya mji wako mtakatifu, ili kumaliza makosa, kukomesha dhambi, kufanya upatanisho kwa ajili ya uovu, kuleta haki ya milele, kutia muhuri maono na unabii, na pia kumtia mafuta yeye aliye mtakatifu sana.
Luke 4:18“Roho wa Bwana yu juu yangu, 2 kwa sababu amenitia mafuta 2 kuwahubiria maskini habari njema. 1 Amenituma kuwatangazia wafungwa 2 kufunguliwa kwao, 2 na vipofu kupata kuona tena, 1 kuwaweka huru wanaoonewa, 2
Hebrews 1:9Umependa haki na kuchukia uovu; 2 kwa hiyo Mungu, Mungu wako, 2 amekuweka juu ya wenzako 2 kwa kukupaka mafuta ya furaha.”
Revelation 12:10Kisha nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema: 1 “Sasa wokovu na uweza na Ufalme wa Mungu wetu umekuja 2 na mamlaka ya Kristo wake. 1 Kwa kuwa ametupwa chini 2 mshtaki wa ndugu zetu, 1 anayewashtaki mbele za Mungu 2 usiku na mchana. 1
Revelation 17:17Kwa maana Mungu ameweka mioyoni mwao kutimiza kusudi lake kwa kukubali kumpa yule mnyama mamlaka yao ya utawala mpaka maneno ya Mungu yatakapotimia.