The Bible Software
bible.software › Waebrania › Waebrania 1 › Waebrania 1:9

Waebrania 1:9

Umependa haki na kuchukia uovu; 2 kwa hiyo Mungu, Mungu wako, 2 amekuweka juu ya wenzako 2 kwa kukupaka mafuta ya furaha.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou hast loved righteousness, and hated iniquity; therefore God, even thy God, hath anointed thee with the oil of gladness above thy fellows.

In Context

8Lakini kwa habari za Mwana asema, 1 “Kiti chako cha enzi, Ee Mungu, 2 kitadumu milele na milele, 1 nayo haki itakuwa fimbo ya utawala 2 ya ufalme wako. 1

10Pia asema, 1 “Hapo mwanzo, Ee Bwana, uliweka misingi ya dunia, 2 nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 1

Read all of Waebrania 1

Cross References

Psalms 2:2Wafalme wa dunia wanajipanga 2 na watawala wanajikusanya pamoja 1 dhidi ya Bwana 2 na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake. 1

Psalms 11:5Bwana huwajaribu wenye haki, 2 lakini waovu na wanaopenda jeuri, 2 nafsi yake huwachukia. 1

Psalms 33:5Bwana hupenda uadilifu na haki; 2 dunia imejaa upendo wake usiokoma. 1

Psalms 40:8Ee Mungu wangu, 2 natamani kuyafanya mapenzi yako; 2 sheria yako iko ndani ya moyo wangu.” 1

Psalms 89:20Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, 2 na nimemtia mafuta yangu matakatifu. 1

Psalms 119:104Ninapata ufahamu kutoka mausia yako, 2 kwa hiyo ninachukia kila njia ya upotovu. 2 Nuru Kutoka Kwenye Sheria Ya Bwana 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 1:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 1:8Waebrania 1Waebrania 1:10 →