Acts 8:21
Wewe huna sehemu wala fungu katika huduma hii kwa kuwa moyo wako si mnyofu mbele za Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou hast neither part nor lot in this matter: for thy heart is not right in the sight of God.
In Context
Cross References
Leviticus 13:8Kuhani atamchunguza, na kama upele umeenea kwenye ngozi, atamtangaza kuwa najisi, kwani ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, yaani ukoma.
2 Chronicles 25:2Akatenda yaliyo mema machoni pa Bwana, lakini sio kwa moyo wake wote.
Psalms 78:36Lakini walimdanganya kwa vinywa vyao, 2 wakisema uongo kwa ndimi zao, 1
Habakkuk 2:4“Tazama, amejaa majivuno; 2 anavyovitamani si vya unyofu: 2 lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake: 1
John 21:17Kwa mara ya tatu Yesu akamuuliza Petro, “Simoni mwana wa Yohana, unanipenda?” Petro akahuzunika sana kwa kuwa Yesu alimuuliza mara ya tatu, “Unanipenda?” Akamjibu, “Bwana, wewe unajua yote, unajua ya kuwa ninakupenda.” Yesu akamwambia, “Lisha kondoo wangu.
Hebrews 4:13Wala hakuna kiumbe chochote kilichofichika machoni pa Mungu. Kila kitu kimefunuliwa na kiko wazi machoni pake yeye ambaye kwake ni lazima tutatoa hesabu. 1 Yesu Kristo Kuhani Mkuu Kuliko Wote