Acts 9:41
Petro akamshika mkono akamwinua, ndipo akawaita wale watakatifu na wajane akamkabidhi kwao akiwa hai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
42Habari hizi zikajulikana sehemu zote za Yafa na watu wengi wakamwamini Bwana.
Cross References
1 Kings 17:23Eliya akamtwaa kijana na kumbeba kutoka chumbani mwake akamshusha kumpeleka kwenye nyumba. Akampa mama yake na kusema, “Tazama, mwanao yu hai!”
Job 29:13Mtu aliyekuwa karibu kufa alinibariki, 2 nami niliufanya moyo wa mjane kuimba. 1
Mark 1:31Hivyo Yesu akamwendea, akamshika mkono na kumwinua. Kisha homa ikamwacha, naye akaanza kuwahudumia. 1 Yesu Aponya Wengi (Mathayo 8:16-17; Luka 4:40-41)
Luke 7:15Yule aliyekuwa amekufa akaketi akaanza kuongea, naye Yesu akamkabidhi kwa mama yake.
Acts 6:1Basi ikawa katika siku hizo, wakati idadi ya wanafunzi ilipokuwa ikiongezeka sana, palitokea manungʼuniko kati ya Wayahudi wa Kiyunani, dhidi ya Waebrania kwa sababu wajane wao walisahaulika katika mgawanyo wa chakula wa kila siku.