The Bible Software
bible.softwareActsActs 9 › Acts 9:42

Acts 9:42

Habari hizi zikajulikana sehemu zote za Yafa na watu wengi wakamwamini Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it was known throughout all Joppa; and many believed in the Lord.

In Context

41Petro akamshika mkono akamwinua, ndipo akawaita wale watakatifu na wajane akamkabidhi kwao akiwa hai.

43Petro akakaa Yafa kwa siku nyingi akiishi na Simoni mtengenezaji ngozi.

Read all of Acts 9

Cross References

John 11:4Lakini Yesu aliposikia hayo, akasema, “Ugonjwa huu hautaleta mauti bali umetokea ili kudhihirisha utukufu wa Mungu, ili Mwana wa Mungu apate kutukuzwa kutokana na ugonjwa huu.”

John 12:11kwa kuwa kutokana na habari za kufufuliwa kwake Wayahudi wengi walikuwa wanamwendea Yesu na kumwamini. 1 Kuingia Kwa Yesu Yerusalemu Kwa Ushindi (Mathayo 21:1-11; Marko 1:1-11; Luka 19:28-40)

Acts 9:35Watu wote wa Lida na Sharoni walipomwona Ainea akitembea wakamgeukia Bwana. 1 Petro Amfufua Dorkasi

Acts 19:17Habari hii ikajulikana kwa Wayahudi wote na Wayunani waliokaa Efeso, hofu ikawajaa wote, nalo jina la Bwana Yesu likaheshimiwa sana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 9:42

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 9:41Acts 9Acts 9:43 →