Mark 1:31
Hivyo Yesu akamwendea, akamshika mkono na kumwinua. Kisha homa ikamwacha, naye akaanza kuwahudumia. 1 Yesu Aponya Wengi (Mathayo 8:16-17; Luka 4:40-41)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Mama mkwe wa Simoni alikuwa kitandani, ana homa, nao wakamweleza Yesu habari zake.
32Jioni ile baada ya jua kutua, watu wakamletea Yesu wagonjwa wote na waliopagawa na pepo wachafu.
Cross References
Psalms 103:1Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. 2 Vyote vilivyomo ndani yangu 2 vilihimidi jina lake takatifu. 1
Matthew 27:55Walikuwako wanawake huko wakiangalia kwa mbali. Hawa walikuwa wamemfuata Yesu tangu Galilaya ili kushughulikia mahitaji yake.
Mark 15:41Hawa walifuatana na Yesu na kushughulikia mahitaji yake alipokuwa Galilaya. Pia walikuwepo wanawake wengine wengi waliokuwa wamekuja pamoja naye Yerusalemu. 1 Maziko Ya Yesu (Mathayo 27:57-61; Luka 23:50-56; Yohana 19:38-42)
Acts 9:41Petro akamshika mkono akamwinua, ndipo akawaita wale watakatifu na wajane akamkabidhi kwao akiwa hai.