The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 1 › Amos 1:4

Amos 1:4

Nitatuma moto juu ya nyumba ya Hazaeli 2 ambao utateketeza ngome za Ben-Hadadi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But I will send a fire into the house of Hazael, which shall devour the palaces of Ben-hadad.

In Context

3Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Dameski, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu aliipura Gileadi 2 kwa vyombo vya chuma vyenye meno. 1

5Nitalivunja lango la Dameski; 2 nitamwangamiza mfalme aliyeko katika Bonde la Aveni, + 1:5 Bonde la Aveni maana yake Bonde la Uovu. 1 na yeye ambaye anaishika fimbo ya utawala katika Beth-Edeni. 2 Watu wote wa Aramu watakwenda uhamishoni huko Kiri,” 4 asema Bwana.

Read all of Amos 1

Cross References

Judges 9:57Mungu akawapatiliza watu wa Shekemu uovu wao juu ya vichwa vyao, na juu yao ikaja laana ya Yothamu mwana wa Yerub-Baali.

1 Kings 20:1Wakati huu, Ben-Hadadi mfalme wa Aramu akakusanya jeshi lake lote. Akifuatana na wafalme thelathini na wawili wakiwa na farasi na magari ya vita, akakwea kuuzingira kwa jeshi Samaria na kuishambulia.

2 Kings 8:7Elisha akaenda Dameski, naye Ben-Hadadi mfalme wa Aramu alikuwa mgonjwa. Mfalme alipoambiwa, “Mtu wa Mungu ametoka mbali akapanda hadi hapa,”

2 Kings 13:25Kisha Yehoashi mwana wa Yehoahazi akateka tena kutoka kwa Ben-Hadadi mwana wa Hazaeli ile miji aliyokuwa ameitwaa kwa vita kutoka kwa baba yake Yehoahazi. Yehoashi alimshinda mara tatu, hivyo akaweza kuiteka tena ile miji ya Waisraeli.

Jeremiah 17:27Lakini ikiwa hamtanitii mimi kwa kuitakasa Sabato na kwa kutochukua mzigo wowote mnapoingia katika malango ya Yerusalemu wakati wa Sabato, basi nitawasha moto usiozimika katika malango ya Yerusalemu utakaoteketeza ngome zake.’ ”

Ezekiel 30:8Ndipo watakapojua kwamba mimi ndimi Bwana, 2 nitakapoiwasha Misri moto 2 na wote wamsaidiao watapondwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 1:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 1:3Amos 1Amos 1:5 →