The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 1 › Amos 1:3

Amos 1:3

Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Dameski, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu aliipura Gileadi 2 kwa vyombo vya chuma vyenye meno. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus saith the LORD; For three transgressions of Damascus, and for four, I will not turn away the punishment thereof; because they have threshed Gilead with threshing instruments of iron:

In Context

2Alisema: 1 “ Bwana ananguruma toka Sayuni, 2 pia ananguruma kutoka Yerusalemu; 1 malisho ya wachunga wanyama yanakauka, 2 kilele cha Karmeli kinanyauka.” 1 Hukumu Juu Ya Majirani Wa Israeli

4Nitatuma moto juu ya nyumba ya Hazaeli 2 ambao utateketeza ngome za Ben-Hadadi. 1

Read all of Amos 1

Cross References

1 Kings 19:17Yehu atamuua yeyote atakayeutoroka upanga wa Hazaeli, naye Elisha atamuua yeyote atakayeutoroka upanga wa Yehu.

2 Kings 10:32Katika siku hizo, Bwana akaanza kupunguza ukubwa wa Israeli. Hazaeli akawashinda Waisraeli sehemu zote za nchi yao

2 Kings 13:7Hapakubaki kitu chochote katika jeshi la Yehoahazi isipokuwa wapanda farasi hamsini, magari kumi ya vita na askari wa miguu elfu kumi, kwa kuwa mfalme wa Aramu alikuwa amewaangamiza hao wengine na kuwafanya kama mavumbi wakati wa kupura nafaka.

Job 19:3Mara kumi hizi mmenishutumu; 2 bila aibu mnanishambulia. 1

Ecclesiastes 11:2Wape sehemu watu saba, naam hata wanane, 2 kwa maana hujui ni baa gani 2 litakalokuwa juu ya nchi. 1

Isaiah 8:4Kabla mtoto hajaweza kusema ‘Baba yangu’ au ‘Mama yangu,’ utajiri wa Dameski na nyara za Samaria zitachukuliwa na mfalme wa Ashuru.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 1:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 1:2Amos 1Amos 1:4 →