The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 1 › Amos 1:5

Amos 1:5

Nitalivunja lango la Dameski; 2 nitamwangamiza mfalme aliyeko katika Bonde la Aveni, + 1:5 Bonde la Aveni maana yake Bonde la Uovu. 1 na yeye ambaye anaishika fimbo ya utawala katika Beth-Edeni. 2 Watu wote wa Aramu watakwenda uhamishoni huko Kiri,” 4 asema Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will break also the bar of Damascus, and cut off the inhabitant from the plain of Aven, and him that holdeth the sceptre from the house of Eden: and the people of Syria shall go into captivity unto Kir, saith the LORD.

In Context

4Nitatuma moto juu ya nyumba ya Hazaeli 2 ambao utateketeza ngome za Ben-Hadadi. 1

6Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Gaza, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu walichukua mateka jumuiya nzima 2 na kuwauza kwa Edomu, 1

Read all of Amos 1

Cross References

2 Kings 16:9Mfalme wa Ashuru akamwitikia kwa kushambulia Dameski na kuiteka. Akawahamishia wenyeji wake huko Kiri, na kumuua Resini.

Isaiah 43:14Hili ndilo Bwana asemalo, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli: 1 “Kwa ajili yenu nitatumana Babeli 2 na kuwaleta Wakaldayo wote kama wakimbizi, 2 katika meli walizozionea fahari. 1

Jeremiah 51:30Mashujaa wa Babeli wameacha kupigana, 2 wamebaki katika ngome zao. 1 Nguvu zao zimekwisha, 2 wamekuwa kama wanawake. 1 Makazi yake yameteketezwa kwa moto, 2 makomeo ya malango yake yamevunjika. 1

Ezekiel 30:17Wanaume vijana wa Oni + 30:17 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua). na wa Pi-Besethi + 30:17 Yaani Bubasti. 2 wataanguka kwa upanga 2 nayo hiyo miji itatekwa. 1

Amos 5:5msitafute Betheli, 1 msiende Gilgali, 2 msisafiri kwenda Beer-Sheba. 1 Kwa maana kwa hakika Gilgali itakwenda uhamishoni, 2 na Betheli itafanywa kuwa si kitu.” + 5:5 Yaani Aveni kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni, jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 1

Nahum 3:13Tazama vikosi vyako: 2 wote ni wanawake! 1 Malango ya nchi yako 2 yamekuwa wazi kwa adui zako; 2 moto umeteketeza mapingo yake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 1:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 1:4Amos 1Amos 1:6 →