The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 48 › Yeremia 48:41

Yeremia 48:41

Miji itatekwa na ngome zake 2 zitatwaliwa. 1 Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Moabu 2 itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Kerioth is taken, and the strong holds are surprised, and the mighty men’s hearts in Moab at that day shall be as the heart of a woman in her pangs.

In Context

40Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Tazama! Tai anashuka chini, 2 akitanda mabawa yake juu ya Moabu. 1

42Moabu ataangamizwa kama taifa 2 kwa sababu amemdharau Bwana. 1

Read all of Yeremia 48

Cross References

Isaiah 21:3Katika hili mwili wangu umeteswa na maumivu, 2 maumivu makali ya ghafula yamenishika, 2 kama yale ya mwanamke mwenye utungu wa kuzaa. 2 Nimeduwazwa na lile ninalolisikia, 2 nimeshangazwa na lile ninaloliona. 1

Jeremiah 4:31Nasikia kilio kama cha mwanamke 2 katika utungu wa kuzaa, 1 kilio cha uchungu kama cha anayemzaa 2 mtoto wake wa kwanza: 1 kilio cha Binti Sayuni akitweta ili aweze kupumua, 2 akiinua mikono yake, akisema, 1 “Ole wangu! Ninazimia; 2 maisha yangu yamekabidhiwa kwa wauaji.”

Jeremiah 30:6Ulizeni na mkaone: 2 Je, mwanaume aweza kuzaa watoto? 1 Kwa nini basi ninaona kila mwanaume mwenye nguvu 2 ameweka mikono yake tumboni 1 kama mwanamke aliye na utungu wa kuzaa, 2 kila uso ukigeuka rangi kabisa? 1

Jeremiah 49:24Dameski amedhoofika, 2 amegeuka na kukimbia, 2 hofu ya ghafula imemkamata sana; 1 amepatwa na uchungu na maumivu, 2 maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1

Jeremiah 51:30Mashujaa wa Babeli wameacha kupigana, 2 wamebaki katika ngome zao. 1 Nguvu zao zimekwisha, 2 wamekuwa kama wanawake. 1 Makazi yake yameteketezwa kwa moto, 2 makomeo ya malango yake yamevunjika. 1

1 Thessalonians 5:3Wakati watu wanaposema, “Kuna amani na salama,” maangamizi huwajia ghafula, kama vile utungu umjiavyo mwanamke mwenye mimba; nao hakika hawatatoroka.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 48:41

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 48:40Yeremia 48Yeremia 48:42 →