The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 2 › Amos 2:3

Amos 2:3

Nitamwangamiza mtawala wake 2 na kuwaua maafisa wake wote pamoja naye,” 4 asema Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will cut off the judge from the midst thereof, and will slay all the princes thereof with him, saith the LORD.

In Context

2Nitatuma moto juu ya Moabu 2 ambao utateketeza ngome za Keriothi. 1 Moabu ataanguka kwa ghasia kubwa 2 katikati ya vilio vya vita na mlio wa tarumbeta. 1

4Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Yuda, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu wameikataa sheria ya Bwana 2 na hawakuzishika amri zake, 1 kwa sababu wamepotoshwa na miungu ya uongo, 2 miungu ambayo babu zao waliifuata. 1

Read all of Amos 2

Cross References

Numbers 24:17“Namwona yeye, lakini si sasa; 2 namtazama yeye, lakini si karibu. 1 Nyota itatoka kwa Yakobo, 2 fimbo ya ufalme itainuka kutoka kwa Israeli. 1 Atawaponda Wamoabu vipaji vya nyuso 2 na mafuvu yote ya wana wa Shethi. 1

Isaiah 40:23Huwafanya wakuu kuwa si kitu, 2 na kuwashusha watawala wa dunia hii kuwa kitu bure. 1

Jeremiah 48:25Pembe + 48:25 Pembe hapa ni ishara ya nguvu. ya Moabu imekatwa, 2 mkono wake umevunjwa,” 4 asema Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 2:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 2:2Amos 2Amos 2:4 →