The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 2 › Amos 2:4

Amos 2:4

Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Yuda, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu wameikataa sheria ya Bwana 2 na hawakuzishika amri zake, 1 kwa sababu wamepotoshwa na miungu ya uongo, 2 miungu ambayo babu zao waliifuata. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus saith the LORD; For three transgressions of Judah, and for four, I will not turn away the punishment thereof; because they have despised the law of the LORD, and have not kept his commandments, and their lies caused them to err, after the which their fathers have walked:

In Context

3Nitamwangamiza mtawala wake 2 na kuwaua maafisa wake wote pamoja naye,” 4 asema Bwana.

5Nitatuma moto juu ya Yuda 2 ambao utateketeza ngome za Yerusalemu.” 1 Hukumu Juu Ya Israeli

Read all of Amos 2

Cross References

Deuteronomy 31:16Kisha Bwana akamwambia Mose: “Unakwenda kupumzika na baba zako, nao watu hawa hivi karibuni watazini na miungu migeni ya nchi wanayoingia. Wataniacha na kuvunja Agano nililofanya nao.

Judges 2:11Kwa hiyo Waisraeli wakatenda maovu machoni pa Bwana na kuwatumikia Mabaali.

2 Samuel 12:9Kwa nini ulilidharau neno la Bwana kwa kufanya lililo ovu machoni pake? Ulimuua Uria, Mhiti kwa upanga na kumchukua mke wake awe mkeo. Ulimuua kwa upanga wa Waamoni.

2 Kings 22:11Mfalme aliposikia maneno ya kile Kitabu cha Sheria, akararua mavazi yake.

2 Chronicles 30:7Msiwe kama baba zenu na ndugu zenu, ambao hawakuwa waaminifu kwa Bwana, Mungu wa baba zao, hivyo akawafanya kitu cha kushangaza kama mnavyoona.

Nehemiah 1:7Tumetenda uovu sana mbele zako. Hatukutii amri, maagizo na sheria ulizompa Mose mtumishi wako.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 2:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 2:3Amos 2Amos 2:5 →