Amos 2:5
Nitatuma moto juu ya Yuda 2 ambao utateketeza ngome za Yerusalemu.” 1 Hukumu Juu Ya Israeli
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But I will send a fire upon Judah, and it shall devour the palaces of Jerusalem.
In Context
Cross References
Jeremiah 17:27Lakini ikiwa hamtanitii mimi kwa kuitakasa Sabato na kwa kutochukua mzigo wowote mnapoingia katika malango ya Yerusalemu wakati wa Sabato, basi nitawasha moto usiozimika katika malango ya Yerusalemu utakaoteketeza ngome zake.’ ”
Jeremiah 37:8Kisha Wakaldayo watarudi na kushambulia mji huu, watauteka na kuuchoma moto.’
Jeremiah 52:13Alichoma moto Hekalu la Bwana, jumba la kifalme, na nyumba zote za Yerusalemu. Aliteketeza kila jengo muhimu.
Amos 1:4Nitatuma moto juu ya nyumba ya Hazaeli 2 ambao utateketeza ngome za Ben-Hadadi. 1