Amos 3:12
Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kama vile mchungaji aokoavyo kinywani mwa simba 2 vipande viwili tu vya mfupa wa mguu 2 au kipande cha sikio, 1 hivyo ndivyo Waisraeli watakavyookolewa, 2 wale wakaao Samaria 2 kwenye kingo za vitanda vyao, 1 na katika Dameski 2 kwenye viti vyao vya fahari.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13“Sikia hili na ushuhudie dhidi ya nyumba ya Yakobo,” asema Bwana, Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote. 1
Cross References
1 Samuel 17:34Lakini Daudi akamwambia Sauli, “Mtumishi wako amekuwa akichunga kondoo wa baba yake. Wakati simba au dubu alikuja na kuchukua kondoo kutoka kundi,
1 Kings 20:34“Nitairudisha ile miji ambayo baba yangu aliiteka kutoka kwa baba yako. Unaweza kuweka maeneo yako ya soko katika Dameski, kama baba yangu alivyofanya huko Samaria.” Ahabu akasema, “Katika misingi ya mkataba, nitakuachilia huru.” Kwa hiyo akaweka mkataba naye, akamruhusu aende zake. 1 Nabii Amlaumu Ahabu
2 Kings 16:9Mfalme wa Ashuru akamwitikia kwa kushambulia Dameski na kuiteka. Akawahamishia wenyeji wake huko Kiri, na kumuua Resini.
Isaiah 17:1Neno kuhusu Dameski: 1 “Tazama, Dameski haitakuwa tena mji 2 bali itakuwa lundo la magofu. 1
Isaiah 17:7Katika siku ile watu watamwangalia Muumba wao, 2 na kuelekeza macho yao kwa yule Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Amos 6:4Ninyi mnalala juu ya vitanda vilivyofunikwa kwa pembe za ndovu, 2 na kujinyoosha juu ya viti vya fahari. 1 Mnajilisha kwa wana-kondoo wazuri 2 na ndama walionenepeshwa. 1