The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 6 › Amos 6:4

Amos 6:4

Ninyi mnalala juu ya vitanda vilivyofunikwa kwa pembe za ndovu, 2 na kujinyoosha juu ya viti vya fahari. 1 Mnajilisha kwa wana-kondoo wazuri 2 na ndama walionenepeshwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That lie upon beds of ivory, and stretch themselves upon their couches, and eat the lambs out of the flock, and the calves out of the midst of the stall;

In Context

3Mnaiweka mbali siku iliyo mbaya 2 na kuleta karibu utawala wa kuogofya. 1

5Ninyi mnapiga vinubi kama Daudi, 2 huku mkitunga nyimbo za vinanda mbalimbali. 1

Read all of Amos 6

Cross References

1 Samuel 25:36Abigaili alipokwenda kwa Nabali, alikuwa ndani ya nyumba yake akifanya karamu kama ile ya mfalme. Naye alikuwa ana furaha nyingi, akiwa amelewa sana. Kwa hiyo Abigaili hakumwambia mumewe kitu chochote mpaka asubuhi yake.

Isaiah 5:11Ole wao wale waamkao asubuhi na mapema 2 wakikimbilia kunywa vileo, 1 wale wakawiao sana mpaka usiku, 2 mpaka wamewaka kwa mvinyo. 1

Isaiah 22:13Lakini tazama, kuna furaha na sherehe, 2 kuchinja ngʼombe na kuchinja kondoo, 2 kula nyama na kunywa mvinyo! 1 Mnasema, “Tuleni na kunywa, 2 kwa kuwa kesho tutakufa!”

Ezekiel 34:2“Mwanadamu, tabiri juu ya wachungaji wa Israeli, tabiri na uwaambie: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ole wa wachungaji wa Israeli ambao hujitunza wenyewe tu! Je, haiwapasi wachungaji kutunza kundi la kondoo?

Luke 12:19Nami nitaiambia nafsi yangu, “Nafsi, unavyo vitu vingi vizuri ulivyojiwekea akiba kwa miaka mingi. Pumzika; kula, unywe, ufurahi.” ’

Romans 13:13Basi na tuenende kwa adabu kama inavyopasa wakati wa mchana, si kwa kufanya karamu za ulafi na ulevi, si kwa ufisadi na uasherati, si kwa ugomvi na wivu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 6:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 6:3Amos 6Amos 6:5 →