Amos 4:2
Bwana Mwenyezi ameapa kwa utakatifu wake: 2 “Hakika wakati utakuja 1 mtakapochukuliwa na kulabu, 2 na wanaosalia kwa ndoana za samaki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 89:36kwamba uzao wake utaendelea milele, 2 na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua; 1
Jeremiah 16:16“Lakini sasa nitawaagiza wavuvi wengi,” asema Bwana, “nao watawavua. Baada ya hilo, nitawaagizia wawindaji wengi, nao watawawinda kwenye kila mlima na kilima, na katika nyufa za miamba.
Ezekiel 39:4Utaanguka kwenye milima ya Israeli, wewe pamoja na vikosi vyako vyote na yale mataifa yaliyo pamoja nawe. Nitakutoa uwe chakula cha ndege wa aina zote walao nyama na cha wanyama wa mwituni.
Habakkuk 1:15Adui mwovu anawavuta wote kwa ndoana, 2 anawakamata katika wavu wake, 1 anawakusanya katika juya lake; 2 kwa hiyo anashangilia na anafurahi. 1