The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 4 › Amos 4:1

Amos 4:1

Sikilizeni neno hili, ninyi ngʼombe wa Bashani 2 mlioko juu ya Mlima Samaria, 1 ninyi wanawake mnaowaonea maskini, 2 na kuwagandamiza wahitaji, 1 na kuwaambia wanaume wenu, 2 “Tuleteeni vinywaji!” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hear this word, ye kine of Bashan, that are in the mountain of Samaria, which oppress the poor, which crush the needy, which say to their masters, Bring, and let us drink.

In Context

2Bwana Mwenyezi ameapa kwa utakatifu wake: 2 “Hakika wakati utakuja 1 mtakapochukuliwa na kulabu, 2 na wanaosalia kwa ndoana za samaki. 1

Read all of Amos 4

Cross References

Exodus 22:21“Usimtendee mgeni vibaya au kumwonea, kwa kuwa nanyi mlikuwa wageni huko Misri.

Deuteronomy 15:9Jihadhari usijiwekee wazo hili ovu: “Mwaka wa saba, mwaka wa kufuta madeni umekaribia,” usije ukaonyesha nia mbaya kwa ndugu yako mhitaji na ukaacha kumpa chochote. Anaweza kumlalamikia Bwana dhidi yako nawe utakuwa umepatikana na hatia ya dhambi.

Deuteronomy 32:14kwa jibini na maziwa kutoka makundi ya ngʼombe 2 na kutoka makundi ya mbuzi, 2 kwa mafuta ya wana-kondoo na mbuzi, 1 kwa kondoo dume wazuri wa Bashani, 2 na kwa ngano nzuri. 1 Ukanywa damu ya zabibu inayotoa povu. 1

Job 20:19Kwa kuwa aliwaonea maskini na kuwaacha pasipo kitu; 2 amenyangʼanya kwa nguvu nyumba asizozijenga. 1

Psalms 12:5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge 2 na kulia kwa uchungu kwa wahitaji, 1 nitainuka sasa,” asema Bwana. 2 “Nitawalinda kutokana na wale 2 wenye nia mbaya juu yao.” 1

Psalms 140:12Najua kwamba Bwana huwapatia maskini haki, 2 na kuitegemeza njia ya mhitaji. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 4:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Amos 4Amos 4:2 →