Amos 4:3
Nanyi mtakwenda moja kwa moja 2 kupitia mahali palipobomolewa kwenye ukuta, 2 nanyi mtatupwa nje kuelekea Harmoni,” 4 asema Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 7:15Wakawafuatia hadi Yordani, nao wakakuta barabara yote ikiwa imetapakaa nguo na vyombo vya Waaramu walivyokuwa wamevitupa walipokuwa wanatoroka. Basi wale wajumbe wakarudi na kutoa taarifa kwa mfalme.
Isaiah 2:20Siku ile, watu watawatupia 2 panya na popo 1 sanamu zao za fedha na za dhahabu, 2 walizozitengeneza ili waziabudu. 1
Ezekiel 12:5Wakiwa wanakutazama, toboa ukuta utolee mizigo yako hapo.
Amos 6:7Kwa hiyo mtakuwa miongoni mwa watu wa kwanza kwenda uhamishoni; 2 karamu zenu na kustarehe kutakoma. 1 Bwana Anachukia Kiburi Cha Israeli
Matthew 16:26Kwa maana, je, itamfaidi nini mtu kuupata ulimwengu wote, lakini akayapoteza maisha yake? Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake?