The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 4 › Amos 4:8

Amos 4:8

Watu walitangatanga mji hata mji kutafuta maji, 2 lakini hawakupata ya kuwatosha kunywa, 2 hata hivyo hamjanirudia mimi,” 4 asema Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So two or three cities wandered unto one city, to drink water; but they were not satisfied: yet have ye not returned unto me, saith the LORD.

In Context

7“Pia niliwazuilia ninyi mvua miezi mitatu 2 kabla ya kufikia mavuno. 1 Nilinyesha mvua kwenye mji mmoja, 2 lakini niliizuia mvua isinyeshe mji mwingine. 1 Shamba moja lilipata mvua, 2 na lingine halikupata, nalo likakauka. 1

9“Mara nyingi nilizipiga bustani zenu na mashamba ya mizabibu, 2 niliyapiga kwa kutu na ukungu. 1 Nzige walitafuna tini zenu na miti ya mizeituni, 2 hata hivyo hamjanirudia mimi,” 4 asema Bwana. 1

Read all of Amos 4

Cross References

1 Kings 18:5Ahabu alikuwa amemwambia Obadia, “Nenda katika nchi yote kwenye vijito vyote na mabonde. Huenda tunaweza kupata majani ya kuwalisha farasi na nyumbu wapate kuishi ili tusilazimike kuwaua hata mmoja wa wanyama wetu.”

Isaiah 41:17“Maskini na wahitaji wanatafuta maji, 2 lakini hayapo, 2 ndimi zao zimekauka kwa kiu. 1 Lakini Mimi Bwana nitawajibu, 2 Mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha. 1

Jeremiah 3:7Mimi nilifikiri kuwa baada ya kuyafanya yote haya angelinirudia, lakini hakurudi, naye dada yake Yuda mdanganyifu aliona hili.

Jeremiah 14:3Wakuu wanawatuma watumishi wao maji; 2 wanakwenda visimani 2 lakini humo hakuna maji. 1 Wanarudi na vyombo bila maji; 2 wakiwa na hofu na kukata tamaa, 2 wanafunika vichwa vyao. 1

Ezekiel 4:16Ndipo Mungu akaniambia, “Mwanadamu, mimi nitakatilia mbali upatikanaji wa chakula katika Yerusalemu. Watu watakula chakula cha kupimwa kwa wasiwasi pamoja na maji ya kupimiwa kwa kukata tamaa,

Hosea 11:5“Je, hawatarudi Misri, 2 nayo Ashuru haitawatawala 2 kwa sababu wamekataa kutubu? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 4:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 4:7Amos 4Amos 4:9 →