Amos 4:7
“Pia niliwazuilia ninyi mvua miezi mitatu 2 kabla ya kufikia mavuno. 1 Nilinyesha mvua kwenye mji mmoja, 2 lakini niliizuia mvua isinyeshe mji mwingine. 1 Shamba moja lilipata mvua, 2 na lingine halikupata, nalo likakauka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 8:22“ ‘Lakini siku ile nitafanya kitu tofauti katika nchi ya Gosheni, ambapo watu wangu wanaishi, hapatakuwepo na makundi ya mainzi, ili mpate kujua kwamba Mimi, Bwana, niko katika nchi hii.
Exodus 9:26Mahali pekee ambapo mvua ya mawe haikunyesha ni nchi ya Gosheni, ambako Waisraeli waliishi.
Leviticus 26:18“ ‘Kama baada ya haya yote hamtanisikiliza, nitawaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Leviticus 26:27“ ‘Kama hata baada ya haya bado hamtanisikiliza lakini mkaendelea kuweka uadui nami,
Deuteronomy 28:23Anga juu yako itakuwa shaba, na ardhi chini yako itakuwa chuma.
1 Kings 8:35“Wakati mbingu zitakapokuwa zimefungwa kusiwe na mvua kwa sababu watu wako wametenda dhambi dhidi yako, watakapoomba kuelekea mahali hapa na kulikiri jina lako nao wakageuka kutoka dhambi zao kwa sababu umewaadhibu,