Amos 4:9
“Mara nyingi nilizipiga bustani zenu na mashamba ya mizabibu, 2 niliyapiga kwa kutu na ukungu. 1 Nzige walitafuna tini zenu na miti ya mizeituni, 2 hata hivyo hamjanirudia mimi,” 4 asema Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:22Bwana atakupiga kwa magonjwa ya kudhoofisha, kwa homa na kuwashwa, hari na kwa ukame, kutu na kuwa na uchungu ambavyo vitakupiga mpaka uangamie.
1 Kings 8:37“Wakati njaa au tauni vikija juu ya nchi, au koga au kawa, nzige au panzi, au wakati adui atakapowazingira katika mji wao wowote, maafa ya namna yoyote au ugonjwa wowote unaoweza kuwajia,
Job 36:8Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo, 2 wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso, 1
Isaiah 9:12Waashuru kutoka upande wa mashariki 2 na Wafilisti kutoka upande wa magharibi 2 wameila Israeli kwa kinywa kilichopanuliwa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1
Jeremiah 3:10Pamoja na hayo yote, Yuda dada yake mdanganyifu hakunirudia kwa moyo wake wote, bali kwa kujifanya tu,” asema Bwana.
Hosea 11:5“Je, hawatarudi Misri, 2 nayo Ashuru haitawatawala 2 kwa sababu wamekataa kutubu? 1