Amos 5:20
Je, siku ya Bwana haitakuwa giza, na si nuru: 2 giza nene, bila mwonzi wa mwanga? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Shall not the day of the LORD be darkness, and not light? even very dark, and no brightness in it?
In Context
21“Ninachukia, ninazidharau sikukuu zenu za dini; 2 siwezi kuvumilia makusanyiko yenu. 1
Cross References
Job 10:21kabla sijaenda mahali ambapo hakuna kurudi tena, 2 katika nchi ya giza na uvuli wa mauti, 1
Ezekiel 34:12Kama vile mchungaji atafutavyo kundi lake lililotawanyika wakati akiwa pamoja nalo, hivyo ndivyo nitakavyowatafuta kondoo wangu. Nitawaokoa kutoka mahali pote walipokuwa wametawanyikia katika siku ya mawingu na giza nene.
Nahum 1:8lakini kwa mafuriko makubwa, 1 ataangamiza Ninawi; 2 atafuatilia adui zake hadi gizani. 1
Matthew 22:13“Ndipo mfalme akawaambia watumishi wake, ‘Mfungeni mikono na miguu mkamtupe nje, kwenye giza. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.’
Revelation 16:10Malaika wa tano akamimina bakuli lake kwenye kiti cha enzi cha yule mnyama, nao ufalme wake ukagubikwa na giza. Watu wakatafuna ndimi zao kwa ajili ya maumivu,