Job 10:21
kabla sijaenda mahali ambapo hakuna kurudi tena, 2 katika nchi ya giza na uvuli wa mauti, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Before I go whence I shall not return, even to the land of darkness and the shadow of death;
In Context
20Je, siku zangu chache si zimekaribia kuisha? 2 Niachie ili niweze kupata muda mfupi wa kufurahi 1
22nchi ya giza kuu sana, 2 yenye uvuli wa giza na machafuko, 2 mahali ambapo hata nuru ni giza.”
Cross References
2 Samuel 14:14Kama vile maji yaliyomwagika ardhini, yasivyoweza kuzoleka tena, hivyo sisi kufa ni lazima. Lakini Mungu haondoi uhai, badala yake, yeye hufanya njia ili kwamba aliyefukuzwa asibaki akiwa amefarikishwa naye.
Job 3:13Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani. 2 Ningekuwa nimelala na kupumzika 1
Job 7:9Kama vile wingu liondokavyo na kutoweka, 2 vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini + 7:9 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. harudi tena. 1
Job 16:22“Ni miaka michache tu itapita 2 kabla sijaenda safari ambayo sitarudi.
Psalms 23:4Hata kama nikipita katikati 2 ya bonde la uvuli wa mauti, 1 sitaogopa mabaya, 2 kwa maana wewe upo pamoja nami; 1 fimbo yako na mkongojo wako 2 vyanifariji. 1
Psalms 88:6Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, 2 katika vina vya giza nene. 1