Amos 5:22
Hata ingawa mnaniletea sadaka zenu za kuteketezwa na sadaka za nafaka, 2 sitazikubali. 1 Ingawa mnaniletea sadaka nzuri za amani, 2 sitazitambua. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21“Ninachukia, ninazidharau sikukuu zenu za dini; 2 siwezi kuvumilia makusanyiko yenu. 1
23Niondoleeni kelele za nyimbo zenu! 2 Sitasikiliza sauti za vinubi vyenu. 1
Cross References
1 Samuel 15:22Lakini Samweli akajibu: 1 “Je, Bwana anafurahia sadaka za kuteketezwa na dhabihu 2 kama vile kuitii sauti ya Bwana? 1 Kutii ni bora zaidi kuliko dhabihu, 2 nako kusikia ni bora 2 kuliko mafuta ya kondoo dume. 1
Psalms 50:23Atoaye dhabihu za shukrani ananiheshimu mimi, 2 naye aiandaa njia yake 2 ili nimwonyeshe wokovu wa Mungu.”
Psalms 116:17Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru 2 na kuliita jina la Bwana. 1
Proverbs 21:27Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo, 2 si zaidi sana itolewapo kwa nia mbaya! 1
Amos 4:4“Nendeni Betheli mkatende dhambi; 2 nendeni Gilgali mkazidi kutenda dhambi. 1 Leteni dhabihu zenu kila asubuhi, 2 zaka zenu kila mwaka wa tatu. 1