Amos 5:23
Niondoleeni kelele za nyimbo zenu! 2 Sitasikiliza sauti za vinubi vyenu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Take thou away from me the noise of thy songs; for I will not hear the melody of thy viols.
In Context
24Lakini acheni haki itiririke kama mto, 2 na uadilifu uwe kama kijito kisichokauka! 1
Cross References
Amos 6:5Ninyi mnapiga vinubi kama Daudi, 2 huku mkitunga nyimbo za vinanda mbalimbali. 1
Amos 8:10Nitageuza sikukuu zenu za kidini kuwa maombolezo, 2 na kuimba kwenu kote kuwe kilio. 1 Nitawafanya ninyi nyote mvae nguo ya gunia 2 na kunyoa nywele zenu. 1 Nitaufanya wakati ule uwe kama wa kuombolezea mwana wa pekee, 2 na mwisho wake kama siku ya uchungu. 1