Amos 5:6
Mtafuteni Bwana mpate kuishi, 2 au atafagia nyumba ya Yosefu kama moto; 1 utawateketeza, nayo Betheli 2 haitakuwa na yeyote wa kuuzima. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Ninyi ambao mnageuza haki kuwa uchungu 2 na kuiangusha haki chini 1
Cross References
Genesis 48:8Wakati Israeli alipowaona wana wa Yosefu, akauliza, “Hawa ni nani?”
Deuteronomy 4:24Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.
Joshua 18:5Mtaigawanya hiyo nchi katika sehemu saba. Yuda atabaki katika eneo lake upande wa kusini na nyumba ya Yosefu katika nchi yake upande wa kaskazini.
2 Samuel 19:20Kwa maana mimi mtumishi wako najua nimefanya dhambi, lakini leo nimekuja hapa kama wa kwanza wa nyumba yote ya Yosefu kushuka na kumlaki bwana wangu mfalme.”
2 Chronicles 34:25Kwa sababu wameniacha mimi na kufukiza uvumba kwa miungu mingine na kunighadhibisha kwa kazi yote ya mikono yao, hivyo hasira yangu itamwagwa juu ya mahali hapa, wala haitatulizwa.’
Isaiah 1:31Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yawakayo moto, 2 na kazi yake kama cheche ya moto; 1 vyote vitaungua pamoja, 2 wala hakuna wa kuuzima huo moto.”