The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 1 › Isaiah 1:31

Isaiah 1:31

Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yawakayo moto, 2 na kazi yake kama cheche ya moto; 1 vyote vitaungua pamoja, 2 wala hakuna wa kuuzima huo moto.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the strong shall be as tow, and the maker of it as a spark, and they shall both burn together, and none shall quench them.

In Context

30Mtakuwa kama mwaloni wenye majani yanayonyauka, 2 kama bustani isiyokuwa na maji. 1

Read all of Isaiah 1

Cross References

Judges 15:14Alipokaribia Lehi, Wafilisti wakamjia wakipiga kelele. Roho wa Bwana akamjia juu yake kwa nguvu. Kamba zilizomfunga mikono yake zikawa kama kitani iliyochomwa kwa moto, na vifungo vyake vikaanguka chini toka mikononi mwake.

Isaiah 9:19Kwa hasira ya Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 nchi itachomwa kwa moto, 1 nao watu watakuwa kuni za kuchochea moto. 2 Hakuna mtu atakayemhurumia ndugu yake. 1

Isaiah 27:4Mimi sijakasirika. 2 Licha pangekuwepo michongoma na miiba kunikabili! 2 Ningepambana dhidi yake katika vita, 2 ningeliichoma moto yote. 1

Isaiah 34:9Vijito vya Edomu vitageuka kuwa lami, 2 mavumbi yake yatakuwa kiberiti kiunguzacho, 2 nchi yake itakuwa lami iwakayo! 1

Isaiah 50:11Lakini sasa, ninyi nyote mnaowasha mioto, 2 na kupeana mienge iwakayo ninyi kwa ninyi, 1 nendeni, tembeeni katika nuru ya moto wenu 2 na ya mienge mliyoiwasha. 1 Hili ndilo mtakalolipokea kutoka mkononi mwangu: 2 Mtalala chini kwa mateso makali.

Ezekiel 20:47Waambie watu wa Negebu: ‘Sikieni neno la Bwana. Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ninakaribia kukutia moto, nao utateketeza miti yako yote, mibichi na iliyokauka. Miali ya moto haitaweza kuzimwa na kila uso kutoka kusini mpaka kaskazini utakaushwa kwa moto huo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 1:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 1:30Isaiah 1