The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 5 › Amos 5:9

Amos 5:9

yeye hufanya maangamizo kwenye ngome 2 na kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa), 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That strengtheneth the spoiled against the strong, so that the spoiled shall come against the fortress.

In Context

8(yeye ambaye alifanya Kilimia na Orioni, 2 ambaye hugeuza giza kuwa mapambazuko 2 na mchana kuwa usiku, 1 ambaye huyaita maji ya bahari 2 na kuyamwaga juu ya uso wa nchi: 2 Bwana ndilo jina lake; 1

10mnamchukia yule akemeaye mahakamani, 2 na kumdharau yule ambaye husema kweli. 1

Read all of Amos 5

Cross References

2 Kings 13:17Elisha akasema, “Fungua dirisha la mashariki,” naye akalifungua. Elisha akasema, “Piga mshale!” Naye akapiga mshale. Elisha akasema, “Mshale wa ushindi wa Bwana, mshale wa ushindi juu ya Aramu! Utawaangamiza Waaramu kabisa huko Afeki.”

Jeremiah 37:10Hata kama mngelishinda jeshi lote la Wakaldayo linalowashambulia ninyi, na wakawa ni watu waliojeruhiwa tu waliobaki kwenye mahema yao, wangetoka na kuuchoma mji huu moto.”

Hebrews 11:34wakazima makali ya miali ya moto, na wakaepuka kuuawa kwa upanga; udhaifu wao uligeuka kuwa nguvu; pia walikuwa hodari vitani na kuyafukuza majeshi ya wageni.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 5:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 5:8Amos 5Amos 5:10 →