Amos 5:8
(yeye ambaye alifanya Kilimia na Orioni, 2 ambaye hugeuza giza kuwa mapambazuko 2 na mchana kuwa usiku, 1 ambaye huyaita maji ya bahari 2 na kuyamwaga juu ya uso wa nchi: 2 Bwana ndilo jina lake; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Ninyi ambao mnageuza haki kuwa uchungu 2 na kuiangusha haki chini 1
9yeye hufanya maangamizo kwenye ngome 2 na kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa), 1
Cross References
Genesis 7:11Katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa pili mwaka wa 600 wa kuishi kwake Noa, siku hiyo ndipo chemchemi zote hata zilizo chini sana ya ardhi zilibubujika kwa nguvu, na malango ya mafuriko ya mbinguni yakafunguliwa.
Exodus 14:24Karibia mapambazuko, Bwana akaliangalia jeshi la Wamisri kutoka ile nguzo ya moto na ya wingu, akalifadhaisha.
Job 9:9Yeye ndiye Muumba wa nyota za Dubu, + 9:9 Nyota za Dubu hapa ina maana ya kundi la nyota za kaskazini, ambazo zinaitwa kwa jina la Dubu Mkuu. na Orioni, + 9:9 Orioni ni kundi la nyota kubwa. 2 Kilimia, + 9:9 Kilimia ni jina lililopewa nyota saba (Taurus). na makundi ya nyota za kusini. 1
Job 37:13Huleta mawingu ili kuadhibu wanadamu, 2 au kuinyeshea dunia yake na kuonyesha upendo wake. 1
Job 38:31“Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? 2 Waweza kulegeza kamba za Orioni? 1
Psalms 104:6Uliifunika kwa kilindi kama kwa vazi, 2 maji yalisimama juu ya milima. 1