The Bible Software
bible.softwareAmosiAmosi 5 › Amosi 5:10

Amosi 5:10

mnamchukia yule akemeaye mahakamani, 2 na kumdharau yule ambaye husema kweli. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They hate him that rebuketh in the gate, and they abhor him that speaketh uprightly.

In Context

9yeye hufanya maangamizo kwenye ngome 2 na kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa), 1

11Mnamgandamiza maskini 2 na kumlazimisha awape nafaka. 1 Kwa hiyo, ingawa mmejenga majumba ya mawe ya fahari, 2 hamtaishi ndani yake; 1 ingawa mmepanda mashamba mazuri ya mizabibu, 2 hamtakunywa divai yake. 1

Read all of Amosi 5

Cross References

1 Kings 18:17Ahabu alipomwona Eliya, akamwambia, “Je, ni wewe, mtaabishaji wa Israeli?”

1 Kings 22:8Mfalme wa Israeli akamjibu Yehoshafati, “Bado yupo mtu mmoja ambaye kupitia yeye twaweza kumuuliza shauri la Bwana, lakini namchukia kwa sababu huwa hatabiri jambo lolote jema kunihusu mimi, lakini kila mara hunitabiria mabaya tu. Yeye ni Mikaya mwana wa Imla.” Yehoshafati akajibu, “Mfalme hapaswi kusema hivyo.”

2 Chronicles 24:21Lakini wakafanya shauri baya juu yake na kwa amri ya mfalme wakampiga kwa mawe mpaka akafa katika ukumbi wa Hekalu la Bwana.

2 Chronicles 36:16Lakini waliwadhihaki wajumbe wa Bwana wakayadharau maneno yake na kuwacheka manabii wake mpaka ghadhabu ya Bwana ikawa kubwa dhidi ya watu wake na hakukuwa na namna ya kuituliza.

Isaiah 29:21wale ambao kwa neno humfanya mtu kuwa mwenye hatia, 2 wamtegeao mtego mtetezi katika mahakama, 1 na kwa ushuhuda wa uongo humnyima haki 2 yeye asiye na hatia.

Jeremiah 20:7Ee Bwana, umenidanganya, 2 nami nikadanganyika; 1 wewe una nguvu kuniliko, 2 nawe umenishinda. 1 Ninadharauliwa mchana kutwa, 2 kila mmoja ananidhihaki. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amosi 5:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amosi 5:9Amosi 5Amosi 5:11 →